Soma Vizuri maelekezo haya kabla ya kuanza ku apply

  1. Lipia kiasi cha Tsh 15000/= katika Account number 0150422045300 CRDB
  2. Kwa watu wa masomo ya Social Work lipia Tsh 20000/=katika Account number 0150422045300 CRDB
  3. Scan Au piga Picha Slip ya Benk ulio lipia na iwe kwenye pdf au jpg
  4. Jaza Taarifa zako katika sehemu zote kama ukurasa unavo onesha
  5. Weka vyeti vyako ulivyo Scan Au kupiga Picha
  6. upload/pandisha scanned (pdf or jpg ) bank payment slip katika box la mwisho la ukurasa huu
  7. .Submit
  8. Subiri kutumiwa message ya Chuo na Necta pale utakapo chaguliwa

Join Us